TMA: Mikoa nane(8) kupata mvua kubwa leo usiku

Analog

Senior Member
Apr 4, 2024
186
404
Dar es Salaam, mamlaka ya hali ya hewa(TMA) imetoa tahadhari ama taarifa ya kwamba mikoa 8 itapata mvua kubwa leo usiku, mikoa hyo ni Dar es Salaam, morogoro, Unguja, Pemba, Pwani, Tanga, Lindi na Mtwara.

Ikumbukwe hapo awali mamlala ilishatabiri juu ya uwepo wa mvua kubwa kwenye mikoa 14...

Itaambatana na upepo mkali unaozid km 40 kwa saa na mawimbi yanayozidi mita 2 kwa mikoa iliyoambatana na bahari ya hindi ikiwemo Dar es salaam, tanga, lindi, mtwara na pwani.

Msemaji wa Serikali anasema mpaka kufika sasa vifo 19 vimetokea na mvua kubwa zinazoendelea mikoa mbalimbali.
 
Sasa mbona wametaja mikoa 7 lengo lao mkoa mmoja wasioutaja ukipigwa mafuriko ndio waje waseme waliusahau ila waliuona.
 
Umetaja mikoa saba.Wa nane ni upi?
 
tupeni mrejesho:
Tanga.... imenyesha kuanzia saa 12 asubuhi, si kubwa kihivyo ilivyotabiriwa, lakini inafaa kwa kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…