Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
- #101
Ke nini msisubiri mpaka mwisho? Mbona kinachofanyika bungeni ni kile kile alichokuwa anazungumzia Lissu? Elimu tu ndiyo shida Tz.
Tunafuta TLS kinakuwa chama cha wawalarushwa na tuaanzisha Board ya Usajili ya wanasheria (LRB) kama zilivyotaasisi nyingine. Na kupokonya majukumu yote ya TLS na kuipa LRB.