Tizama utapata la kueleza....

Ha ha nimemwona mwalimu huyo fisadi kikwete anatakiwa kupigwa mawe mpaka kufa pamoja na mafisadi wenzake enzi za mwalimu kulikuwa hakuna rushwa ila kwa sasa imeshakuwa utamaduni
 
Naona JK wa ukweli hayuko comfortable kabisa kukaa jirani na huyo msanii rafki wa Diamond
 
Mwinyi na Ben inaonekana wana furaha na wana-enjoy company Nyerere lakini mwenzangu na mimi Kikwete inaonekana kila mtu na lake. Hakuna mwenye imani na mwenzie.
 
Mwinyi na Ben inaonekana wana furaha na wana-enjoy company Nyerere lakini mwenzangu na mimi Kikwete inaonekana kila mtu na lake. Hakuna mwenye imani na mwenzie.


haaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…