Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,731 Reaction score 5,672 Jul 25, 2015 #1 Baraza la ushauri limetahadharisha juu ya mgomo wa mabasi na kusema kuwa viongozi wa TABOA hawana mamlaka ya kuitisha mgomo kwasababu sio chama cha wafanyakazi. Chanzo;Channel Ten
Baraza la ushauri limetahadharisha juu ya mgomo wa mabasi na kusema kuwa viongozi wa TABOA hawana mamlaka ya kuitisha mgomo kwasababu sio chama cha wafanyakazi. Chanzo;Channel Ten
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,404 Jul 26, 2015 #2 kwani mgomo lini?
K kali dula Member Joined Jul 26, 2015 Posts 6 Reaction score 1 Jul 26, 2015 #3 wagome tu mbona wao STK SU STJ STL azilipiwi ushulu..ushulu wa basi ni milioni 95 si upuzi uo wanataka tunyonye sisi wasafiri
wagome tu mbona wao STK SU STJ STL azilipiwi ushulu..ushulu wa basi ni milioni 95 si upuzi uo wanataka tunyonye sisi wasafiri