Tirav sec school

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
834
Reaction score
858
Wadau nauliza kwa anaejua hii shule ipo sehem gani kwa maana maeneo gani manake kuna ndugu yangu anataka kumpeleka kijana wake sasa kaniuliza nimeshindwa kumpa jibu.
 
Ipo lumo barabara ya kuelekea machimbo ukitokea jet
 
Ahsante sana mkuu kwa taarifa.
 
Ahsante sana mkuu kwa taarifa.

iko LUMO/MACHIMBO.......GARI ZAKE ZIMEANDIKWA MACHIMBO....AU UNAPANDA GARI ZA GONGO LA MBOTO..UNASHUKA JET HAPO UNAPANDA ZA MACHIMBO/MWISHO WA LAMI
 
Ukifika Lumo mwisho wa lami, unakwenda mbele kama hatua 20 hivi mkono wa kushoto kuna kibarabara kinaingia then utaiona shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…