T tomlema New Member Joined Jul 5, 2011 Posts 4 Reaction score 2 Aug 4, 2014 #1 Nakodisha tipper semi-trailer mpya aina ya Scania. Ni tani 32 maalumu kwaajili ya kupakia kokoto. Inauwezo wa kupakia cubic metre 20. Nakodisha kwa bei ya TShs laki 6 kwa siku. Yoyote aliye interested ani inbox Wasalaamu
Nakodisha tipper semi-trailer mpya aina ya Scania. Ni tani 32 maalumu kwaajili ya kupakia kokoto. Inauwezo wa kupakia cubic metre 20. Nakodisha kwa bei ya TShs laki 6 kwa siku. Yoyote aliye interested ani inbox Wasalaamu
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,417 Reaction score 1,389 Aug 14, 2022 #2 Huna scania 124? Flatbed!