Kalamzuvendi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2009
- 639
- 741
Yeah soka la mchangani lipo vizuri sana. Hivi Issa Athumani alizikiwa Sauzi au walimrudisha bongo?Shughuli enzi hizo ilikuwa uwanja wa Barafu.
Kulikuwa na Entebe ya Shibam Magomeni, Kiboko Msheli ya Magomeni Makuti, Magomeni Kondoa, Kagera Rangers, Linea Messina, Nzige Army.
Ilikuwa ikipigwa mechi ya Entebe na Kagera Rangers au Messina Line, uwanja ulikuwa unabeba zaidi ya watu Elfu 8.
Wachezaji wengi wa kwenye Ligi kwenye miaka ya mwishoni mwa 1980 walitoka kwenye timu hizi.
Mfano; Bakari Iddi, Kingsley Malwilo,Muscat Said, Kasa Musa, Ally Maumba, Issa Athumani (marehemu) Kasongo Athumani nk.
Zamani kulikuwa na mpira bana, mechi ya Mchangani lakini kuanzia saa 8 mchana uwanja wa Barafu ushajaa, kusubiri vichekesho vya Mbamba wa Entebe, Ally Waya na mdogo wake Honda.
Mkuu Sifa United ipo Manzese Mlimani sio TandaleOrodha ya timu za mpira wa miguu za watoto wa kihuni pamoja na vituko vyao katika soka, premier league na mchangani, bila kusahau wana soka waliokuwa wanacheza soka la kihuni.
Mimi naanza na timu zangu...
1. NYOTA NYEKUNDU.
2. CONGO UNITED
3.SIFA UNITED watoto wa Tandale....
5. ASHANTI YA ILALA
4. Kuna watu wanaitaja na AFRICAN SPORT ya TANGA but sijalithibitisha hilo.
ONGEZA NYINGINE NA VITUKO VYAO KWENYE SOKA.
KISA KIMOJA : NYOTA NYEKUNDU walikuwa na beki wao anaitwa JOHN BOSCO ambae baadae alisajiliwa na Simba. Kabla hajasajiliwa Simba, Madaraka Suleiman mzee wa Kiminyio, alisajiliwa Majimaji ya Songea akitokea Sifa United ya Tandale.
Maji maji wakaja kucheza na Nyota Nyekundu uwanja wa taifa. John Bosco akawa ndo anamkaba Madaraka. John Bosco alimchezea sana rafu Madaraka, ila Madaraka akawa ana mkaushia tu. Kala sana vipepsi nakadhalika..
Game ilivyoisha Madaraka akamfuata John Bosco nje ya dimba. Akamwamkwida akimwambi:
" We msengwile unaniona mi fala eeh kwa sababu nachezea Majimaji? Unaniona mi mngoni?" John Bosco alichezea kichapo cha haja. Wachezaji wengine wa Nyota Nyekundu wakakaushia tu kwa sababu wanajuma madaraka mtoto wa SIFA UNITED ya Tandale na moto wa watoto wa SIFA UNITED walikuwa wanaujua."
Dondosha jina la timu yoyote iliyo kuwa inacheza mpira wa kihuni pamoja na vituko vyao.
Daaah mkuu umenikumbisha mbali sana na uwanja wa Barafu na kiboko msheli.. Enzi hizo home palikuwa hapo somanga gemu zikichezwa pakitokea tafran utashangaa watu wanavyokatiza makaburini pale kwa spidi ya ajabu…. Daaah those were the dayzShughuli enzi hizo ilikuwa uwanja wa Barafu.
Kulikuwa na Entebe ya Shibam Magomeni, Kiboko Msheli ya Magomeni Makuti, Magomeni Kondoa, Kagera Rangers, Linea Messina, Nzige Army.
Ilikuwa ikipigwa mechi ya Entebe na Kagera Rangers au Messina Line, uwanja ulikuwa unabeba zaidi ya watu Elfu 8.
Wachezaji wengi wa kwenye Ligi kwenye miaka ya mwishoni mwa 1980 walitoka kwenye timu hizi.
Mfano; Bakari Iddi, Kingsley Malwilo,Muscat Said, Kasa Musa, Ally Maumba, Issa Athumani (marehemu) Kasongo Athumani nk.
Zamani kulikuwa na mpira bana, mechi ya Mchangani lakini kuanzia saa 8 mchana uwanja wa Barafu ushajaa, kusubiri vichekesho vya Mbamba wa Entebe, Ally Waya na mdogo wake Honda.
kiigumila igumilaa mkuu.
teh teh maeneo ya white star au sio
Yaap mzee kwa mkunyugu
kwa mkunyugu
Bercelona ya mwanza na balewa fc ya nera achanao hao,pia Toto Africans in tim ya wahuni Julio anahabari nao
California FC ya Mabatini.. Opec ya Igogo.. Lumumba Rovers na AFC Lumumba. Hizi timu bado zipo?
Bila kumsahau Aron Nyanda,ngasa pia alipita hapo kabla ya opecBarcelona ya pale Uhuru ilikuwa mixer wahindi, waswahili na waarabu watata..jamaa walikuwa wanapiga mpira safi saana wa Gonga yaani moja moja saafi wakanifanya niwapende na wakatalunya wa spain.
Duh!! Skoba, Said Mbuzi..kizazi jeuri hiki.