Kinyau original
Senior Member
- Jun 6, 2015
- 101
- 17
Kaa! Uncle Sam, sasa wanaundaje serikali wakati hata uchaguzi Mkuu haujafanyika, na kwani mawaziri hawatatokana na wabunge watakaokuwa wameshinda uchaguzi/ kuteuliwa na Rais!? MmmhUmoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wamekamilisha rasmi zoezi zima la kuwapata wagombea wake katika ngazi za juu za serikali huku mgawanyo mpya wa majimbo ukiwarahisishia kuhakikisha vyema mchakato wa kugawana majimbo uliowekwa kiporo, nimethibitisha.
Kesho UKAWA wanatarajiwa rasmi kuwatangaza watu wake watakaoongoza serikali katika ngazi za juu ambao ni rais, makamu wa rais, rais wa SMZ na waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Pia wanatarajiwa kutangaza rasmi idadi ya wizara walizounda na baadhi ya watu mashuhuri watakaoongoza wizara hizo.
Pia kesho kombora zito la ufisadi wa Magufuli litawekwa rasmi hadharani na kumsambaratisha mgombea huyo wa CCM katika hatua za awali.
Pamoja sana Ukawa!! Huyo Magufuli nibonge la gamba kwanza atwambie kwanini aliuza nyumba za serikali nakuisababishia nchi hasara, watumishi mbali mbali wakiwemo mawaziri na majaji, mpakaleo wanakaa mahoterini nakulipiwa dola zaidi ya2000 kwa mwezi kwakukosa nyumba za serikali. Huo niufisadi wahatari aliofanya huyu Magufuli, sema watanzania wengi niwasahaulifu, hawana record zawatu hatari kama hawa kina Magufuli. Huyu nimwizi tu kama wenzake ktk CCM hakuna msafi.
Kumbuka Zitto Kabwe aliwahi kuwaambia kuwa UKAWA ni umoja wa Kugawana Madaraka. Hawana jipyaKaa! Uncle Sam, sasa wanaundaje serikali wakati hata uchaguzi Mkuu haujafanyika, na kwani mawaziri hawatatokana na wabunge watakaokuwa wameshinda uchaguzi/ kuteuliwa na Rais!? Mmmh
Ukawa wanacheza siasa tu. ina maana ufisadi wa Magufuli kaufanya baada ya kuteuliwa nafasi ya Urais? Siku zote walikuwa wapi?
Jamani UKAWA, tunawapenda lakini hata MAGUFULI pia tunaupenda utendaji wake sana, of course atakuwa anayo makosa kama binadamu.....kwani tunajua kuwa YEYE sio malaika jamani!
Embu tafadhalini, kwa manufaa ya nchi.....hilo Kombora liwekeni kiporo....leteni CD ya Arusha kwanza, ila mshkaji anafaa kikweli tumpeni nafasi! Mwacheni aifanye tanzania inyooke kama Rwanda jamani!
Wananchi hatuhitaji tuongozwe na MALAIKA katika serikali zetu, tunahitaji MZALENDO na MCHAPAKAZI mambo ambayo tunaamini MAGUFULI anayo!
Watanzania tuna shida ya ubongo.
Kosa kubwa kuuza nyumba karibia zote za serikali huku huna plan B.
Wamewauzia watumishi wa serikali kwasababu hawakuwa na plan ya kuwawezesha wtumishi masikini hawa kuwa na nyumba... Kwa wale wa chini sio wle wa masaki.
Sasa ni hasara juu ya hasara. Magufuli mwenyewe sasa yupo entitled kuwa na nyumba ya serikali japo aliuziwa aliyokuwa anaishi. Bullshitt**
mungu bariki ukawa.