Waingereza hawaimbwi sana,lakini naona kabisa hawa jamaa watafanya kitu watu watashangaa,shida tunakariri Maisha..ikumbukwe hawa jamaa walitolewa nusu fainali na croatia kwa mbinde sana weldi kapu iliyopita pale Russia kocha huyuhuyu Southgate na 80%+ wachezaji ni walewale