Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Mkuu mboga huwa inakaa hapo katikati kileleni mwa nguna.mboga iko wapi?. nimependa sana hii. ugali wa jumuia kama huu huwa mtamu sana. tonge tatu tu ugali umeisha.
mboga iko wapi?. nimependa sana hii. ugali wa jumuia kama huu huwa mtamu sana. tonge tatu tu ugali umeisha.
Mkuu mboga huwa inakaa hapo katikati kileleni mwa nguna.
Mkuu mboga huwa inakaa hapo katikati kileleni mwa nguna.
mboga iko wapi?. nimependa sana hii. ugali wa jumuia kama huu huwa mtamu sana. tonge tatu tu ugali umeisha.
nilisahau. hapo inatakiwa uwe unamega ugali pembeni pembeni ili usitoboe shimo lenye mboga coz mchuzi waweza tapakaa sinia nzima.