DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,305
- 2,719
Nimepata jina jipya la Bar yangu
Subiri niangalie misimamo kwenye ligi zao ndo nichague timu yangu
Hakuna hata moja inayonivutia hapo, ebu tuwekee ligi pendwa uone tutakavyotiririka
Godoy cruz ni jeshii...walishanipa laki tisa
Boca junior
Nyote mnaoshabikia timu za wazungu watumwa tu
Nilwahi kushabikia Colo-Colo, Boca Juniors na River Plate kwa kipindi tofauti. River plate yakina Salas na baadae Aimar, Saviola, D'allesandro yani we acha tu madogo walikua wanapiga mpira sio mchezo.
Palmeiras kipiindi wanacheza kina mtaalmu Zinho miaka ya 90 ilikua moto nayo.
Sao paul ya Gwiji Tele Santana ya kina Rai, Leonardo, Cafu hapana chezea ilikua, mpaka timu za ulaya zikila vichapo kama watoto.
Colo-ColoJina lipi hilo mkuu?