Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Magamba hawana hamu kabisa na huu uchaguzi.
Kuanzia mwenyekiti wa taifa wa CCM mpaka balozi wa nyumba kumi wanafuatilia uchaguzi huu hatua kwa hatua.
Hawataki kabisa hata kujua wapuuzi wenzao kule Dodoma wanaendeleaje;wote wapo bize na uchaguzi wa CHADEMA.
pipoooooooooooooooooooooooooooooooz.
Ni uzao wa Zitto. Lazimacawe mzurimdee ni jembe la ukweli unakumbuka alivyompelekesha prof Tibaijuka kuhusu ufisadi wa ardhi cha simba
Ni uzao wa Zitto. Lazimacawe mzuri
Duh! Hii sasa ni kali. Nimeweka hii post yako kwenye kumbukumbu. Nitakukumbusha kakaWakuu,
Kansa Mbarouk akipata hata kura yake Mwenyewe nahamia MAGAMABA
Wakuu,
Kansa Mbarouk akipata hata kura yake Mwenyewe nahamia MAGAMABA
Duh! Hii sasa ni kali. Nimeweka hii post yako kwenye kumbukumbu. Nitakukumbusha kaka
Wakuu,
Kansa Mbarouk akipata hata kura yake Mwenyewe nahamia MAGAMABA
Wakuu,
Kansa Mbarouk akipata hata kura yake Mwenyewe nahamia MAGAMABA
Wakuu,
Kansa Mbarouk akipata hata kura yake Mwenyewe nahamia MAGAMABA
Zitto kawekeza kweliNi uzao wa Zitto. Lazimacawe mzuri
Nilijua tu utaenda huko coz ACT wengi ni wale waliokata tamaa na mwenendo wa CHADEMAIkibidi ntaenda ACT Kabisa Dada
Usiwe na wasiwasi atapata ya kwake na ya mkewe tu!
ha! nilifikiri unahamia MAGAMBA, kumbe MAGAMAGA!! ndio wapi huko?