Kwa bajeti ya dola bilioni nane, hakuna wazir yeyote au PS atakayebadilisha conditions za mahospitali yetu.
Binafsi naona madaktari ni selfish na wapuuzi wasiojali nani wanamtumikia.
Lakini mbona wabunge walipo lia waliongezewa posho, acha kila awezaye kulia na alie kwa nguvu zake zote na siyo kundi moja linaloonekana kulia sana na kusikilizwa, ehe naona nimekosea hapo wabunge wamesikilizwa bila hata kulia!Hapa umeongea mkuu... kuondoka kwao siyo suluhu ya tatizo lililo! Tukumbuke kuwa hawa viongozi wa sasa siyo kwamba wao ndio wametengeneza hii structure ya wizara ya afya iliyopo. Kila kitu kilikuwepo, they have just taken over..they are unlucky sababu haya mambo yameibuka kipindi wao wakiwa ndio viongozi wa wizara husika. Yangeweza kumkuta yeyote ambaye angekuwa anahold office kipindi hiki. Tuwape muda, hili suala especially la miashahara na posho, linaaffect serikali yote kwa ujumla! Imagine leo doctorz wanalia unawaongezea wanachotaka...what do u expect? kesho waalimu watalia, wahasibu watalia, wakandarasi watalia na hata wahudumu!! Chamuhimu ni tuwape muda viongozi husika...hope watafika pazuri na pande zote mbili zitaelewana!
Lengo la serikali ni kuwachosha madaktari kwa kudrag the strike. Madaktari need to come up with a counter move.
You do not even know what inverted comas means. Poor you.
I am going to teach you for free. Here you are!
inverted comas = inverted commas
inverted comas means = inverted commas mean
I am going to teach you for free. Here you are!
inverted comas = inverted commas
inverted comas means = inverted commas mean
Mwanakijiji,
Things are not working like that. You can't force someone to resign or to leave the office. For some guys resigning means you are weak, you can't rectify/solve problems at hand. Let's wait.. .its up to them to evaluate n make the so called hard decision depending on their concious!
With the current on going situation, I think we can't blame just one part. Both parties doctors n government should be blamed for failing to reach into an agreement!
Hapa umeongea mkuu... kuondoka kwao siyo suluhu ya tatizo lililo! Tukumbuke kuwa hawa viongozi wa sasa siyo kwamba wao ndio wametengeneza hii structure ya wizara ya afya iliyopo. Kila kitu kilikuwepo, they have just taken over..they are unlucky sababu haya mambo yameibuka kipindi wao wakiwa ndio viongozi wa wizara husika. Yangeweza kumkuta yeyote ambaye angekuwa anahold office kipindi hiki. Tuwape muda, hili suala especially la miashahara na posho, linaaffect serikali yote kwa ujumla! Imagine leo doctorz wanalia unawaongezea wanachotaka...what do u expect? kesho waalimu watalia, wahasibu watalia, wakandarasi watalia na hata wahudumu!! Chamuhimu ni tuwape muda viongozi husika...hope watafika pazuri na pande zote mbili zitaelewana!
what about the prime minister, do you want him stay?
wajiuzulu ili uteuliwe wewe?kwa nn usiwape mawazo wafanye kazi.
Lengo la serikali ni kuwachosha madaktari kwa kudrag the strike. Madaktari need to come up with a counter move.
We have waited and the wait is now over. These three must resign if they have any sense of duty to our nation left in them. They must be sacked if that sense of duty is left in the hearts of hearts of their superiors. For how long shall a nation be forced to kneel before the alter of the corrupt ruling elite? For how long shall incompent and mediocre leaders be left to reign as there is no one in the whole nation who can take them to task?
The three top officials at the MoHSW have shown that they are untouchable and the protection they enjoy within the government is absolute. Since the beginning of the current doctors' strike the trio have continue without a sense of 'urgency of the now'. Once the three are sacked/resign then the constructive negotiations between the striking doctors and the government can start and I believe the firing/resignations will assure the doctors that the government is serious enough and will make them return to work while the other issues are being hammered out.
So, time is up; its time for you three to go![/QUOTE
Nilitegemea JK afanye hilo pinde aliporudi, badala yake naye anaenda kuanza kufungua Mabenki na kuwaacha walalahoi wanakufa Muhimbili
Whom in your right mind can beat the challenge? "Power tends to corrupt and absolute power corrupts absolutely", You?
incompent = incompetent
I love a fight, but it is no use fighting the wrong enemy or fighting an imaginary enemy.
doctors dont need financial assistance, they need fairness!!!! hapa sio msaada wa kifedha bali ni haki na stahiliDoctors need financial assistance now, the government is dragging the strike so that they can be broke and come back to work on Government terms, for this strike to succeed doctors should revise the way to get financial assistance