Times Up! Hadji, Nyoni and Mtasiwa must go Now!

MMM umemuaddress nani hiyo rai yako?? maana kama ni serikali/watawala, bado wamelala

Tena usingizi mzito kweli kweli...pengine tutakuja kuona madhara ya kutotatua matatizo mara moja when we are retired and get the pinch these innocents get at the hospitals.
 
oooh! My God!
kila siku tanzania, kila siku ukiingia JF unakutana na thread za kukatisha tamaa afadhali ya jana.
nani ataenda kwenye lile pango la magogoni kusafisha kupondaponda kichwa cha hili joka?
 
Hapa umeongea mkuu... kuondoka kwao siyo suluhu ya tatizo lililo! Tukumbuke kuwa hawa viongozi wa sasa siyo kwamba wao ndio wametengeneza hii structure ya wizara ya afya iliyopo. Kila kitu kilikuwepo, they have just taken over..they are unlucky sababu haya mambo yameibuka kipindi wao wakiwa ndio viongozi wa wizara husika. Yangeweza kumkuta yeyote ambaye angekuwa anahold office kipindi hiki. Tuwape muda, hili suala especially la miashahara na posho, linaaffect serikali yote kwa ujumla! Imagine leo doctorz wanalia unawaongezea wanachotaka...what do u expect? kesho waalimu watalia, wahasibu watalia, wakandarasi watalia na hata wahudumu!! Chamuhimu ni tuwape muda viongozi husika...hope watafika pazuri na pande zote mbili zitaelewana!
 
You are right MM, but this will never happen in the nation of LEISURE FAIR TYPE OF MANAGEMENT AND LEADERSHIP. Mambo yameachwa yajiendeshe na kujirekebisha yenyewe.
 
wakina ngereja na malima wanaenjoy tu bungeni kama mnakumbuka wabunge walishupalikia issue lakini bila aibu wapo bungeni hadithi ni ile ile kwa hawa wa wizara ya afya ... UWAJIBIKAJI nchi hii ni AINA FULANI YA NDOTO tena ya mchana ... ndio maana kichwa changu kinawaza tungewatawaliwa kijeshi tu
DHAMIRA ZAO ZIMESHAKUFA WAPO SAYARI NYINGINE YA MAISHA UCHUNGU HAWANA KABISA MAISHA MAZURI YAMESHAWATIA GANZI .... TUENDELEE KUELEMISHA WENZETU WACHACHE WALIOBAKI WENYE UOGA WAKUITOA CCM MADARAKANI
 

What about the Prime Minister, do you want him stay?
 
What about the Prime Minister, do you want him stay?
Yaani PM ndio hafai kabisa...ni muongo sana! Hivi ile issue ya swali la Mh Lema kwamba waziri mkuu akilidanganya Bunge nini kifanyike liliishia wapi?
Na alisema wasiporudi kazini Madaktari watakuwa wamejifukuzisha kazi analielezeaje? Maana sasa wote twajua hawakurudi kazini na yeye yuko pale pale...PM should be the 1st to GO!
 
Accountability and national interest baaado sana, wang'atuke waende wapi, hata madaktari wagome mwaka mzima.! Si mmeona upuuzi wa Bunge kukataa hoja ya dharula kujadili mgomo wa madaktari, State of Emergency ni Kama posho zisipolipwa, hapo naamini hata bungeni hawatoingia
 
Oooh Lord, I wish we had an Executive Head of State, a responsible and able person! He would have taken action and stopped the suffering of so many!

You can only know the magnitude of the incompetence of our leaders if you had an ailing mother, sister, daughter, wife, who dearly needed to be attended but could not because a simple meeting could not be convened, that had the PM been man enough to accept the requested Monday meeting instead of a Sunday one (which he requested at the eleventh hour) then your loved one would have survived to see another day and make a contribution to your family and the nation at large.... that is only then you would request the total resignation of the CCM Government!
 

Very well said comrade!
 
I think we are well on course on a crisis of the "Liberal economy" we have been trying to imitate. it is a question of an equitable distribution of the national cake. if you look everywhere, there is a tendency of a small group serving the interest of another small group, and enjoying on behalf of the majority. the doctors' debacle is just a tip of an iceberg. when the mudslide begins in earnest, nothing will be spared. perhaps it is good that we are moving into the final phase of the crisis anyway. we were headed this direction for a long time. if you can sustain the crisis started by the doctors, how about the police? the teachers? the workers? and then finally the peasants and watu wa mtaani!
 
Whom in your right mind can beat the challenge? "Power tends to corrupt and absolute power corrupts absolutely", You?

Uh-oh!You have committed Plagiarism! This is Lord (John Emerich Edward Dalberg) Acton's ideas so you can not use his ideas or words and pass them off as your own. You must list the source.
 

Jairo and Luhanjo were found to have infringed government procedures and the the Bunge recommended disciplinary action to be taken against them. HAS ANY DISCIPLINARY ACTION BEEN INSTITUTED AS RECOMMENDED? The answe is NO; do you have any reason to expect that some action might be taken against those who might have been responsible for the doctors' strike? Taking the Jairo saga as a precedent , nothing rational will come from the government side.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…