HAPO MAHALI NILITEMBELEA SUMMER HII NA KUSTAJABU KISOMO CHA MMAREKANI. ingefaa ungeonesha na lile gorofa losheni kumi na nane lenye shepu ya C
Viongozi wa Nigeria, Kenya, Ivory Cost na senegal wakienda ulaya huiga kujenga miji yao iwe mizuri kama times squire NYC. lakini viongozi wetu sisi wakienda ulaya na asia huleta nchini matembezi ya mshikamano na kuhimiza magazeti kuandika matusi kwa Israeli na marekani. huu ndio ukweli wa Tanzania!!!!!