Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,536
- 9,611
πππTimes FM imejaa wanayanga wengi wakiongozwa na mchambuzi uchwara Juma Abdul Jafari.
Hao waandishi walikula futari iliyoandaliwa na Yanga ramadhani ya mwaka jana hawawezi kuitendea haki Simba.Redio takataka hizo unafikiri zina uwezo wa kutambua ubaya wa wanachokifanya basi.
Wana waandishi vilaza wasiojua ethics za utangazaji HALI inayoweza kupoteza wasikilizaji wake waliokuwa mashabiki wa hiyo time wanayoicheka.
Ndio maana waajiri wanalazimishwa kuajiri staff wenye skills za kazi wanayoifanya.
Timu ya Simba ndo mdudu gani huko DarTimes Fm ni redio ya michezo siku nzima, sasa katika hali isiyo ya kawaida leo wanapiga kile kibao cha Ubongo Kids kinachokwenda kwa jina la "Sifuri ni nini".
Huu wimbo mbona hauhusiani na michezo? Mbona kama wanaibagaza Simba?
Pia wanaplay sauti ya Ahmed Ally kila mara ile anayosema maana ya kugawa utamu ni kufungwa mechi 3 mfululizo.
Huu ni udhalilishaji wa kiwango cha juu maana ni kama wanasema timu ya Simba ni wagawa utamu.
πππTimu ya Simba ndo mdudu gani huko Dar