Kidumu chama cha CMM! Watapigwa tu, wapigwe tu....ukileta fyokofyoko bungeni utapigwa na katiba ya CCM itapita tu....na CCM itaendelea kukuongoza hadi ufe...mwanao ataikuta CMM and mjukuu wako atafia CCM. Chadema mnasindikiza katiba na CUF wamekuwa mbwa koko wa kuokota makombo ya CCM barabarani.