Majina yangu na ninakupa kopi ya documentsHizo till zinasoma majina yako ama na ww unazo zenye majina ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazingua mbona hupokei simuKwa anayehitaji TILL zinauzwa:
Voda = 150,000/=
Tigo = 150,000/=
Airtel =130,000/=
Halotel =130,000/=
Karibuni sana kwa biashara.
Ni zipo moja moja tu nilikuwa nafanyia biashara mimi sasa nmeamua kuingilia kulima hivyo naziuza kuongeza mtaji wa kilimo.
Napatikana Iringa lakin Mbeya,morogoro na Dar naweza kukufikishia
0765329261
Nmekufuata inbox mkuu tufanye biasharaMkuu unaweza ukapunguza kidogo inbox
Biashara kichaaa hyo..
Inakila aina ya majanga..
1. CHUMA ULETE
2. WIZI WA SILAHA
3. MATAPELI
4. WIZO WA MTANDAO
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu umemjibu vizur mi kidogo niropoke neno hilo nadhan ningekuwa bannedKama huna maisha sio kila mtu,... Usiaribu biashara za watu, nuksi na dhiki kaa nazo mwenyew,... Usitake watu wakufate kwenye maisha yako ya dhiki,umepewa akili kufikir sio kulaza ujinga, badilika,!
Bank wanaporwa kwa silahaBiashara kichaaa hyo..
Inakila aina ya majanga..
1. CHUMA ULETE
2. WIZI WA SILAHA
3. MATAPELI
4. WIZO WA MTANDAO
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu umemjibu vizur mi kidogo niropoke neno hilo nadhan ningekuwa banned
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maoni tu mkuu.. Sina ugomvi na mtu.. Ata kama mtu atanunua ajue kuna hzo changamoto.Kama huna maisha sio kila mtu,... Usiaribu biashara za watu, nuksi na dhiki kaa nazo mwenyew,... Usitake watu wakufate kwenye maisha yako ya dhiki,umepewa akili kufikir sio kulaza ujinga, badilika,!
SawaNi maoni tu mkuu.. Sina ugomvi na mtu.. Ata kama mtu atanunua ajue kuna hzo changamoto.
Sent using Jamii Forums mobile app