mzalendo iq1 JF-Expert Member Mar 10, 2020 1,258 1,541 May 27, 2020 #1 Wadau leo nimeingia tiktok sikukaa hata dakika kumi sababu nilihisi Kama vile nimeingia muhimbili wodi ya vichaa Mimi binafsi naweza sema tiktok ni janga lingine Nimekuta wanaume wanafanya kila kitu hata Cha ujinga wa Hali ya juu Wanawake wanafanya vitu ambavyo unaweza sema ni laana inatutafuna wanadamu Kiukwel Kuna Mambo ni mazuri tiktok na yakufuraisha Ila mengi Yana udhunisha
Wadau leo nimeingia tiktok sikukaa hata dakika kumi sababu nilihisi Kama vile nimeingia muhimbili wodi ya vichaa Mimi binafsi naweza sema tiktok ni janga lingine Nimekuta wanaume wanafanya kila kitu hata Cha ujinga wa Hali ya juu Wanawake wanafanya vitu ambavyo unaweza sema ni laana inatutafuna wanadamu Kiukwel Kuna Mambo ni mazuri tiktok na yakufuraisha Ila mengi Yana udhunisha
Mjomba Fujo JF-Expert Member Oct 27, 2012 2,323 5,946 May 27, 2020 #2 Niliingia nkaona upuuzi nikaifuta siku hiyo hiyo.
M mbongopopo JF-Expert Member Jan 24, 2008 1,611 759 May 27, 2020 #3 Sio kila kitu ni cha kila mtu Watu wengine humo wanatengeneza michuzi, akili zinatumika na juu ya yote ujuzina watu kujitambua vipaji n.k.
Sio kila kitu ni cha kila mtu Watu wengine humo wanatengeneza michuzi, akili zinatumika na juu ya yote ujuzina watu kujitambua vipaji n.k.
mzalendo iq1 JF-Expert Member Mar 10, 2020 1,258 1,541 May 28, 2020 Thread starter #5 Nimekutana Idris anamcheka magufuli Suriya said: Tusimulie sasa umekuta nin na nin? Click to expand...
Nimekutana Idris anamcheka magufuli Suriya said: Tusimulie sasa umekuta nin na nin? Click to expand...
Surya JF-Expert Member Jun 7, 2015 8,379 12,574 May 28, 2020 #6 mzalendo iq1 said: Nimekutana Idris anamcheka magufuli Click to expand... Ooooh! Hilo limezagaa sana mitandao mingi, hasa baada ya jamaa kushikwa.
mzalendo iq1 said: Nimekutana Idris anamcheka magufuli Click to expand... Ooooh! Hilo limezagaa sana mitandao mingi, hasa baada ya jamaa kushikwa.
Mocumentary JF-Expert Member Jul 31, 2017 769 1,959 May 28, 2020 #7 Vitu vingine kama uvielewi unavipotezea tuu, You won't loose sh**t. Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vingine kama uvielewi unavipotezea tuu, You won't loose sh**t. Sent using Jamii Forums mobile app
Kimwerymdodo5 JF-Expert Member Feb 10, 2019 2,040 3,286 May 28, 2020 #8 wavulana na wasichana ndo wamejazana huko...
Zabron Hamis JF-Expert Member Dec 19, 2016 6,517 10,427 May 28, 2020 #10 Kwa wale tunaotunia tecno tunafuta inarudi, unafuta inarudi, unafuta inarudi. Mwisho nimeamua kuiacha ila nimeblock all notification kutoka huko tiktok na ile visk sijui.
Kwa wale tunaotunia tecno tunafuta inarudi, unafuta inarudi, unafuta inarudi. Mwisho nimeamua kuiacha ila nimeblock all notification kutoka huko tiktok na ile visk sijui.