Hapana ni Tigo hiii kampuni ya simu yaani sijui ni kwangu au watu wengine, sms ni nyingi mno hadi keroda nilifikiri unaongelea jicho ooffffuuuuu
Wanachosha kwa kweli!!!yaani hilo tatizo hata mimininalo yaani kila saa mara cheza bado kidogo ushinde marra hivi yaani shida
Wanachosha kwa kweli!!!
ningekuwa namjua afisa masoko wao ningempa za uso!!!!!
Haya futa hayo matangazo kwenye simu yangu. simu yangu ni nambaaaaaNiko hapa Afisa masoko wa Tigo, karibu nikusaidie Mteja wangu[emoji87]
Nilidhani ni mimi tu kumbe tuko wengi ambao hatufurahishwi na style yao!!!Naunga mkono hoja
Voda nao jana walinikera!voda pia wapo wanakerea sikuhizi ukiamka asubuhi unakuta OSD ya package wakikutaka uconconfirm package unayotaka
Mi mwenyewe yananikera sana tena saaaana lkn natetea kibarua cha watoto wangu, unadhani sitajikaanga kumuomba Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Tigo atuwezeshe kutotuma sms za matangazo mengi ya mara kwa mara [emoji848][emoji1]Haya futa hayo matangazo kwenye simu yangu. simu yangu ni nambaaaaa
ngoja niikumbe then nikutajie.hahahahahahaah
hahahaaah "mwambie" yawe na kiasi. vikizidi ni mno!!!!!Mi mwenyewe yananikera sana tena saaaana lkn natetea kibarua cha watoto wangu, unadhani sitajikaanga kumuomba Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Tigo atuwezeshe kutotuma sms za matangazo mengi ya mara kwa mara [emoji848][emoji1]
hahahaaah "mwambie" yawe na kiasi. vikizidi ni mno!!!!!
Ulifanya jambo jema kwe kweliNilishablock matangazo yote hawanisumbui siku hizi
Na kuna ile namba yao wanapigaga unaweza dhani mtu wa muhimu anapiga ukipokea unasikia matangazo,nilishaiblock nayo at least napumzika asahivUlifanya jambo jema kwe kweli
Inakuwa inaanza kama 901 na hivi!!!!Na kuna ile namba yao wanapigaga unaweza dhani mtu wa muhimu anapiga ukipokea unasikia matangazo,nilishaiblock nayo at least napumzika asahiv
Kweli kabisa....Tigo, hebu tuhurumieni na hayo matangazo yenu kwenye simu kila mara.
Yaani sms karibia 20 kwa siku.
Mnanikera aisee
Mnanimalizia chaji kwenye simu yangu ya torch!!!!
Niambie mkuu wangu na wewe unakutana na hii kero!!!!Kweli kabisa....