unaweka 'jero' kwa simu yako ambayo haina internet (data off), haujapiga na hata kutuma SMS, lakini Salio linakwisha kwa mnunurisho..
Jamaa mwingine alijiunga kifurushi cha hawa jamaa.., ili apate dakika, akapewa na 20MB..., ajabu iliyoje, yeye anatumia NOKIA YA BUTTON (Torch) lakini anapewa ujumbe kwamba amebakiwa na 5MB