Kama 3G ni mizinguo,na 4G si yatakuwa yaleyale tu?
Juzi kati nikajiunga na kifurushi chao cha YouTube kile cha saa sita usiku,speed yao ni mbovu sana.
Nikilinganisha na cha halotel cha YouTube cha saa sita usiku,speed ya halotel ni kubwa mara mbili ya tiGO.
Napata jibu kwamba halotel ndiyo mpango,kwanza vifurushi vyake vinatoa MB nyingi kuliko tiGO.