Yaani mi hasa tigo ndio siwataki hata kuwasikia, wezi wakubwa hawa jamaa, Niliweka vocha ya buku 5, sijaitumia nashangaa imekatwa na imebaki buku 2, sijawahi kukopa,sijawahi kumpigia simu mtu maana nilisafiri huko nilikoenda mtandao wao hakuna, hivyo haupatikani, na hata Voda pia, huko, nilikuwa natumia Airtel tu. Nashangaa kurudi safari eti kuangalia salio kwenye tigo nakuta buku 2. Pambavu zao!!