SHAROBALO JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 771 Reaction score 349 May 16, 2014 #1 nimejaribu leo ni mb 400 tu kwa mia mbili waongo sana jamaa...ila inafaa kwa vitu vidogo dogo...kama kusoma email.
nimejaribu leo ni mb 400 tu kwa mia mbili waongo sana jamaa...ila inafaa kwa vitu vidogo dogo...kama kusoma email.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,260 May 16, 2014 #2 kwan umeambiwa bila kikomo ni nini? au wameandika tu
simbamzeewamwakidila JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 1,447 Reaction score 379 May 16, 2014 #3 Kweli mkuu huo ni utapeli wa wazi
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,303 Reaction score 2,853 May 16, 2014 #4 SHAROBALO said: nimejaribu leo ni mb 400 tu kwa mia mbili waongo sana jamaa...ila inafaa kwa vitu vidogo dogo...kama kusoma email. Click to expand... Mb 400 kwa sh. 200 bado unalalamika?
SHAROBALO said: nimejaribu leo ni mb 400 tu kwa mia mbili waongo sana jamaa...ila inafaa kwa vitu vidogo dogo...kama kusoma email. Click to expand... Mb 400 kwa sh. 200 bado unalalamika?
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 546 May 16, 2014 #5 hiyo bil kikomo labda itakuwa kwa ajili ya kubrows kama unadownload... unazani itakuwa bila kikomo tena
hiyo bil kikomo labda itakuwa kwa ajili ya kubrows kama unadownload... unazani itakuwa bila kikomo tena
G golota JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 538 Reaction score 157 May 16, 2014 #6 wajinga sana
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 May 16, 2014 #7 golota said: wajinga sana Click to expand... mbona airtel fb na twiter bure ila mpaka ujiunge?
K king90 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 368 Reaction score 222 May 17, 2014 #8 Asante tigo,mie wananipa MB 500 kwa sh 500 montnly ikiisha naunga tena hata kama ni within 1 hrs.
Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 May 17, 2014 #9 watu shukrani less
akili akili JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,767 Reaction score 1,157 May 17, 2014 #10 SHAROBALO said: nimejaribu leo ni mb 400 tu kwa mia mbili waongo sana jamaa...ila inafaa kwa vitu vidogo dogo...kama kusoma email. Click to expand... Haya makampuni ya simu ndio zao, wengine walianza na bure, wakaja na nusu garama, na very soon, wakuja na garama kamili. Sent from my iPhone using JamiiForums app
SHAROBALO said: nimejaribu leo ni mb 400 tu kwa mia mbili waongo sana jamaa...ila inafaa kwa vitu vidogo dogo...kama kusoma email. Click to expand... Haya makampuni ya simu ndio zao, wengine walianza na bure, wakaja na nusu garama, na very soon, wakuja na garama kamili. Sent from my iPhone using JamiiForums app
W Window Vista Member Joined Apr 13, 2014 Posts 19 Reaction score 14 May 17, 2014 #11 king90 said: Asante tigo,mie wananipa MB 500 kwa sh 500 montnly ikiisha naunga tena hata kama ni within 1 hrs. Click to expand... kivip hapo mkuu tusaidianage mapemaaah
king90 said: Asante tigo,mie wananipa MB 500 kwa sh 500 montnly ikiisha naunga tena hata kama ni within 1 hrs. Click to expand... kivip hapo mkuu tusaidianage mapemaaah