Tigo sasa mmenichosha

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Tigo kila kukicha wanapunguza dakika,sms na mb katika zile laini zao za chuo,ambazo zina ofa ya university toka dakika 120 sasa dakika 80,sms 1500 sasa sms 500,gb1 sasa mb 500
 
Hii mitandao haieleweki kama homa ya vipindi kila siku wanaibia wateja wao
 
Mii mwenyewe nime mind kweli leo. Jana tuu nilijunga kile kifurushi cha chuo cha jero mb 500, leo najiunga tena eti naluta mb 300, afu kile cha 1500 wanatoa mb 500. Waseme tuu kama wametuchoka. Mfyuuu zao
 
Jamani mm hizo hizo zinanitosha anaweza kuniunga na mm nataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…