Line za tigopesa kwa anayehitaji bei ni laki 5 na nusu no discount !!!! Masharti uwe na copy za tin number, leseni ya biashara na kitambulisho chako na picha mbili passport size!!! Ili baada ya wiki 3 ibadilishwe jina isome jina lako!! Ukihitaji ni pm tutaongea huko