tiGO, ni nini hiki jamani?

tiGO, ni nini hiki jamani?

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Wiki ya pili sasa TiGO sasa wanatupatia usumbufu usio wa lazima; sijui mimi tu na nyie wenzangu yanatokea kwenye simu zenu! Ukipiga simu ambayo imekuwa saved wanaondoa sifuri.

mfano 0719666099 inakuwa 719666099 au km inaanza +255 wanaiondoa hiyo code kisha unambiwa ichunguze vizuri namba uliyopiga ukiiweka tena unapiga inakwenda.

Mwanzoni nilidhani simu yangu but simu ni 2chip artel iko mkide!

Ebu tusaidiane nini tatizo?
 
The same to me......Kumbe siko peke angu mwanzoni nilihangaika sana kila nikipiga naambiwa chunguza namba mpaka kuja kugundua ilinichukua muda kweli sijui wamevurugwa na nini :A S-confused1:
 
The same to me......Kumbe siko peke angu mwanzoni nilihangaika sana kila nikipiga naambiwa chunguza namba mpaka kuja kugundua ilinichukua muda kweli sijui wamevurugwa na nini :A S-confused1:

Juzi niliwauliza pale mlimani city wakasema hilo tatizo ndo mimi nalilipoti hawana taarifa.
 
aah wapi tatizo lipo nimejaribu hata kuwashirikisha wenzangu nao wana experience the same problem
 
Leo wameanza na wao utaratib wa MB 8 kama voda,,,,,yaan wanaboaaaaaah.!!
 
Daima ntaipenda jf maana nilishajiandaa kesho niipeleke simu kwa fundi nikiamini kuna tatizo kwenye setting kumbe tatizo ni hao tigoo.
 
Wiki ya pili sasa TiGO sasa wanatupatia usumbufu usio wa lazima; sijui mimi tu na nyie wenzangu yanatokea kwenye simu zenu! Ukipiga simu ambayo imekuwa saved wanaondoa sifuri.

mfano 0719666099 inakuwa 719666099 au km inaanza +255 wanaiondoa hiyo code kisha unambiwa ichunguze vizuri namba uliyopiga ukiiweka tena unapiga inakwenda.

Mwanzoni nilidhani simu yangu but simu ni 2chip artel iko mkide!

Ebu tusaidiane nini tatizo?

Nilifikiri ni simu yangu imeanza ku- misbehave, kumbe ni washenzi in action.
 
ni kweli hili tatizo limeanza kukomaa,mi pia linanitokea karibu kila siku!! na linakera kweli kweli
 
Hivi hatuwezi kugoma ata siku tatu wapate hasara ili na wao wajifunze?

Aisee,una mawazo kama yangu.Ila mie nimeanza utekelezaji huu kwa kugoma kununua voucher mpaka nitakapotafakari tena.Nitaweka salio mara moja kwa week kumjulia mama mzazi hali yake pamoja na yeyote mwenye mchongo wa pesa...
 
Back
Top Bottom