TiGo ni Majanga

TiGo ni Majanga

Churwaaa

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
74
Reaction score
94
Ombi la kuzuia Muamala:37448397641, Kiasi: TSh 550,000 kwenda 255716277037 limefanikiwa. Pesa yako itarudishwa baada ya mpokeaji kuruhusu
Leo ni siku ya NNE hawjaresha muamara niliozuia urudi kwenye cm yangu Naombeni msaada nifanyeje ili warejeshe pesa zangu make huyo mtu niliyemzidishia kumtumia pesa ilibidi nikope sehem nikamtumia pesa sake sasa huku nimebaki nadaiwa balaaa, kila nikipiga hiduma kwa wateja wananiambia suala lako linashughulikiwa .
 
Wapigie tena ....eti mpaka mpokeaji aruhusu pumbavu asipo ruhusu hasara kwa nani

Hii kampuni ya kijinga sana ndiyo maana situmii hili limtandao la hovyo... Kiongozi nenda makao makuu wasikuletee habari za hekaya za abunuwazi pesa nyingi hiyo usione tabu kulipa nauli kuifata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua hiyo ulomtumia kimakosa nae ana haki ya kukubali kurudisha au kukataa.. Kuna hiyo option siku hizi.
Sasa hapo pambana na huyo ulomtumia pia sababu yeye akiminya
1.kubali....pesa yako inakurudia
Siku nyingne uwe makini na usome jina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkomeshe kwa kuachana naye, wewe tafuta pesa nyingine tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilishatupa line ya tigo kitambo sana, kwa ujinga kama huo alaf ukimtumia mtu sms mchana delivery itakua saa nane ucku, kama una date na mke wa mtu alaf unawasiliana nae kwa tigo fumanizi ni cku1, jinga kbsa tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom