K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 4,213 Reaction score 13,597 Jun 30, 2024 #41 Omary Mahayu said: Amia halotel utaenjoy sana kaka. Yaani unakuwa unanunua mwenyewe tu kutokana na matumizi yako alafu bando lake linakaa sana. Click to expand... Vigezo vya kujiunga na huduma hii vikoje?
Omary Mahayu said: Amia halotel utaenjoy sana kaka. Yaani unakuwa unanunua mwenyewe tu kutokana na matumizi yako alafu bando lake linakaa sana. Click to expand... Vigezo vya kujiunga na huduma hii vikoje?
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,462 Reaction score 14,831 Jul 1, 2024 #42 Sisi tupo wa3. Kila mtu analipa kwa wakati.
Ahead JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 2,407 Reaction score 2,729 Jul 1, 2024 #43 Tigo postpaid ni huduma nzuri sana
Billion Dolar JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 1,448 Reaction score 3,280 Jul 1, 2024 #44 Mi natumia ya 15k sijawahisumbuka nliungwa peke yangu
Omary Mahayu Member Joined Apr 8, 2024 Posts 26 Reaction score 28 Jul 2, 2024 #45 K11 said: Gharama za awali za huduma hiyo kwa ajili ya kujiunga zikoje? Click to expand... Ni bure kabisa. Aulipii kusajiliwa
K11 said: Gharama za awali za huduma hiyo kwa ajili ya kujiunga zikoje? Click to expand... Ni bure kabisa. Aulipii kusajiliwa