Nimejiunga na Tigo na kuchukua kifurushi cha 1 GB cha masaa 24. Ajabu ni kwamba licha ya kutumiwa ujumbe wa kuwa nimejiunga na kifurushi hicho, mpaka sasa sijapata mtandao wao. Nimehakikisha tena na tena kuwa settinngs zote ziko sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.