A Andare Member Joined Sep 19, 2018 Posts 7 Reaction score 1 Nov 3, 2019 #1 Mmeanza na sms za kwenda kusajili line kwa njia ya vidole, mmeona haitoshi mmekuja na ujumbe wa maneno. Ninapopiga simu nakutana na ujumbe wa maneno kwa mimi naona unanipotezea muda tu hizo sms zinatosha.
Mmeanza na sms za kwenda kusajili line kwa njia ya vidole, mmeona haitoshi mmekuja na ujumbe wa maneno. Ninapopiga simu nakutana na ujumbe wa maneno kwa mimi naona unanipotezea muda tu hizo sms zinatosha.
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,076 Reaction score 13,953 Nov 3, 2019 #2 Yaani shida sana,
Northman JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,587 Reaction score 2,518 Nov 3, 2019 #3 Hata voda wanafanya hivyo,inakera sana.
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,195 Nov 3, 2019 #4 Nenda kasajili mbona ni dakika mbili tu ushamaliza na karibu sehemu nyingi sana wanasajili sio mpaka uende tigoshop.
Nenda kasajili mbona ni dakika mbili tu ushamaliza na karibu sehemu nyingi sana wanasajili sio mpaka uende tigoshop.