Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
yaani watumiaji wa tigo sijui wanawezana vipi na huu mtandao, mie nishaamua kuhamia zangu airtel. tigo hela zinayeyuka utafikiri wana chuma ulete. ukitaka kupiga simu unashangaa salio zero wakti ulikuwa na balance ya kutosha.
vodacom, tigo wez tu mtandao wa uhakika ni airtel
Karibu airtel angalau wana chembechembe za huruma kwa wateja, na kuanzia saa 6 usiku ni free internet.
Kumbe siyo mimi tu