Wamekuwa ovyo sana, sijui ndio sabotage imeanza.Tigo wanaboa sana
Mkuu jana nilimtumia jamaa mmoja pesa ya Material Dukan kwake ajabu ni kwamba anasema hajapata muamala, nimekua nahangaika toka jana na Tigo wako kimya hawatoi taarifa, wakiitwa Nyamwazi wanakasirika
aiseeMAN OF NO FEAR, 8 YEARS IN THE BUSH WITH NO SICK REPORT
Wakuu huo mtandao unaenda kuuzwa na walishatangaza nadhani, kwaiyo kaane mkao wakuliwaMie nimekuja mjini nikijua nitahamisha pesa tigopesa..kifupi nimestuck somewhr .hapa nna hasira balaa...!
Tigo kmmk zenu
Nimeumbuka sana ...yaan nimepata aibuWakuu huo mtandao unaenda kuuzwa na walishatangaza nadhani, kwaiyo kaane mkao wakuliwa
Aibu kaumbiwa binadamNimeumbuka sana ...yaan nimepata aibu
Pia sasa hivi kama huweki muda wa maongezi ukipigiwa simu inaonyesha haipatikani, nimejaribu kuwapigia tigo lkn jambo wanachojieleza hakieleweki.Habari wana Jf, nadhani kuna tatizo upanda wa Tigo especially Tigo Pesa ndani ya miezi miwili haiwezikana huduma za Tigo pesa ziwe zinashida, tatizo liko wapi? Kama ni watu wa IT badilisheni au kama ni mitambo ya zamani badilisheni.
Hivi mnatambua kama kuna watu wanatumia tigo pesa kama wallet sasa yanapojitokeza haya mnatoa msaada gani zaidi ya majibu yenu marahisi ya kuwa samahani kuna tatizo la kiufundi huduma itarudi ndani ya masaa 24. Whats a fukn joke, yani nisubiri masaa 24 as if shida zangu zitasubiri mpaka hayo masaa 24?
Mnatukosea sana wateja kama mmeshindwa kuja na backup plan ya kutatua hili tatizo basi mje na emergency plan ya kusolve wateja wenu wapate hela yakijitokeza haya.
Kuna njia kadhaa za kufanya wateja wenu kusolve tatizo la kifedha nitakuwa tayari kuwasaidia kama consultant.
"MAN OF NO FEAR, 8 YEARS IN THE BUSH WITH NO SICK REPORT"