KERO ! Tigo mastercard nimepokea refund ya 4.3 million makato niliyokatwa ni laki 9 (931,000). Tigo nahitaji pesa yangu. Mamlaka husika chunguzeni makatato ya Tigo pesa. Watanzani pesa zao zinapotea kwenye makato ya Tigo pesa
.
0659 172 401

Ongea vizuri sasa mkuu, chief executive wa JF intelligence nipo hapa.
Enhee emu nielekeze kwa tuo sasa ili tuone tunalimalizq vipi hili.
JF intelligence.
KERO ! Tigo mastercard nimepokea refund ya 4.3 million makato niliyokatwa ni laki 9 (931,000). Tigo nahitaji pesa yangu. Mamlaka husika chunguzeni makatato ya Tigo pesa. Watanzani pesa zao zinapotea kwenye makato ya Tigo pesa
.
0659 172 401
Katika kadi zote za hovyo ni hao tigo angalau baki voda mkuu au kachukue kadi ya manunuzi toka benki yeyote ya kigeni, Nmb usiguse kadi yao inamatundu mengi (loophole)za kutosha Wanaigeria wanaiba balaa , Anaweza kukuibia dola moja moja kila lisaa ukajikuta unashangaa tu na ukienda NMb hawasemi lolote