MwanaHaki R I P Joined Oct 17, 2006 Posts 2,401 Reaction score 710 Apr 24, 2010 #21 Huu ni wizi. Wanatangaza bei ya shilingi moja kwa sekunde, hawatangazi hiyo ya PEAK, kwa nini? Hapa tunawajibika kulalamika rasmi kwa TCRA Consumer Consultative Council, wawarekebishe!
Huu ni wizi. Wanatangaza bei ya shilingi moja kwa sekunde, hawatangazi hiyo ya PEAK, kwa nini? Hapa tunawajibika kulalamika rasmi kwa TCRA Consumer Consultative Council, wawarekebishe!
Tumsifu Samwel JF-Expert Member Joined Jul 30, 2007 Posts 1,408 Reaction score 163 Apr 24, 2010 #22 View attachment 9746 Ina maana hii yote ni kanya boya?