T Takayangu Member Joined Nov 12, 2011 Posts 35 Reaction score 13 Feb 10, 2012 #1 Hawa tigo kwa huku bukoba mbona wanatuzingua toka jana hakuna mtandao bukoba nzima. Watueleze shida nn?
Hawa tigo kwa huku bukoba mbona wanatuzingua toka jana hakuna mtandao bukoba nzima. Watueleze shida nn?