tiGO Android/iPhone/blackberry cards...

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,625
Reaction score
104,610
Sorry kwa yoyote anaeweza nipa details kidogo za hii uduma ya tigo, kuuza hizo cards kwa 30,000 na kuweza kupata ofa ya internet, sms n calls katika smartphone yako. Hivi vitu ni unlimited? Kwa mfano mimi am interested na internet, vipi free hadi mwisho au wananipa amount flani ya data?
 
Mi sina uzoefu na hiyo smart card lakini nina uzoefu na mtandao wa tigo ni waizi hawa jamaaa sijapata kuona na pia huduma zao ni mbofu mbofu, so angalia usije ukalipa 30,000 ukaambulia patupu, mi huwa najiunga nao ile ya siku 400 at least risk yake ni ndogo.
 
TIGO wamewachanganya watu kwa kuziita hizi "Smart card" hizi ni SIM card kama za kawaida tulizozoea sema wanazimarket kama "smart" card kwa vile hizi offer zinalenga smartphones actually hakuna hata haja ya kubadili SIM card kulingana na maelezo yao Facebook unaweza kutumia SIM card yako ya zamani.

Kwa 30,000 unapata 3GB data na salio la 30,000 kwa ajili ya kupiga simu/sms etc. offer zinatofautiana kidogo kulingana na package ipi unachagua, details kamili ni


au nenda Smart Card Community
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…