Tigo and airtel free internet hack unlimited

una aja ya kuwa na acc zote izo moja tu inatosha but iwe ya hotmail thn sign up kwenye iyo program"s website thn nenda kwa e mail yako kupata username na password
 
Wakuu tigo wamestukia hii michezo ya kitoto so wanabana speed kinoma, yaani ukishamaliza kukamua zile Mb zao za kudownload na kustream speed inadrop hadi 28 KB/s so hii trick inafanya kazi ndiyo but kwa speed hiyo ni upuuzi mtupu!!!
Tujiulize 28-35 KB/s utashusha muvii ya 700Mb kwa muda gani?
Bila shaka huu ni mnofu kwa wale wa kupakua light file sio sie wa heavy Download Krapka Davinoooooooooo!!!!!!!
 
kweli mkuu yaani haya ambo ya kuweka vitu open kiasi hiki yanatucost mimi niikuwa nishasahu nasuala ya kununua c.d za movie yaani kwa shs 500 kwa siku nikuwa nadownload mpk muvi 5 kwa siku
 
Mndengereko unajua tokea tuanze kushusha mavitu mwaka jana hakuna aliyemwaga mtama hapa jamvini!!
Ilikuwa inavuma Tunner Guru ya kamanda Paje tu huku sie tunakula vitu gizani yaani ni mwendo wa pm kwa watiifu wachache.
Tatizo kuna wajinga wajinga humu wanataka kuonekana Bab Kubwa kwa kuweka mautamu yetu kwenye blog zao uchwara au FB page zao so wametustukia kiasi kwamba tunamvunja moyo Mzee wetu wa michongo e2themiza
 
Last edited by a moderator:
Pd proxy ,Meteor VPN ,Sandwich VPN ndo habari ya mujini
 

Attachments

  • 259GB.PNG
    15.5 KB · Views: 5,627
kweli mkuu yaani haya ambo ya kuweka vitu open kiasi hiki yanatucost mimi niikuwa nishasahu nasuala ya kununua c.d za movie yaani kwa shs 500 kwa siku nikuwa nadownload mpk muvi 5 kwa siku

mkuu mbona unaweza tumia internet free na tena kwa speed ile ile hata kama mb zao za tgo zmekwsha.cjui za kustream
 
mkuu mbona unaweza tumia internet free na tena kwa speed ile ile hata kama mb zao za tgo zmekwsha.cjui za kustream

Free tigo internet just for 10000/1month multiSSH kujiunga kama unataka whatsapp +255715647513 speed na hatari pia kuna account za kutest kabla ya kununua
 
anayejua maujanja ya airtel tafadhali tujuzane....
maisha ya sasa bila internet hayaendi kabisa na mb ndio zinapungua kila siku.
 

Duh!jkitu kiko fasta hakunaga yani!ni zaidi ya 4g
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…