Tigo acheni utani basi

kisewa

Senior Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
186
Reaction score
111
Mb 200 kwa shs 1000 alafu mnaniambia kuwa niofa maalum hiyo wakati wenzenu airtel wana toa 1gb kwa shs 1000 tena unatumia siku 3, acheni utani nawaambia
 
Sikumbuki ni lini nimeweka vocha tigo imebak kuwa line ya kupokelea simu tu natumia voda na airtel ma bando ya kumwaga
 
Sikumbuki ni lini nimeweka vocha tigo imebak kuwa line ya kupokelea simu tu natumia voda na airtel ma bando ya kumwaga

Mnhh!!...hayo mabando ya kumwaga yako wapi mkuu!??
 
Hii line yangu ya Tigo soon itapotea maana naipa sabu sana
 
amini nakuambia hawako wanatania bli wapo serious na kuitaka pesa yako hata kwa njia ya kukukandamiza
 
amini nakuambia hawako wanatania bli wapo serious na kuitaka pesa yako hata kwa njia ya kukukandamiza

Si tuu hivyoo, wana rudisha pesa zao maana kipindi inaanza ilikuwa ni rahisi mnooooo wakawa wanaiita mtandao wa wanafunzi kwasababu huduma walizokuwa wanazitoa zilikuwa rahisi sana.

Sasa wanataka kurudisha pesa zao kwa kipindi chote kile walichokuwa wanatoa ofa zile za wakati ule[emoji20]
 
Huenda wanajaribu kukusanya, pesa za Vijana wa Hermy B
 
Buku = 400mb

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…