Sio kila mtu aliyepo JF yupo Dar au kwenye Kwenye miji mikubwa, nimeamua kuchukua 4G coz halotel ipo speed ya kawaida sana huku, kulikua na promoshen ya watu wa huo mtandao wanauza modem na line za 4g toka nimenunua cjajuta bado
Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda zaidi.
1Gb unadownload kwa 10 min, Sometimes speed inakwenda had 3mb/sec kwa aliotumia niko tayari kukosolewa.

halotel ipo poa mkuu popote kitu kinatembea mpka 4mb/sec, kipindi kile 18GB usiku pack me nashusha mzigo mpka wa 16GB na badoo ukiangalia time iliotumia 3hrs to 4, tigo inachagua hata town hapa hapa sio kila sehemu ina speed