Huyu dogo TID angefika mbali sana sijui laana hii ya ngada kaitoa wapi!namfahamu tangu akisoma Shaaban Robert pale karibu na Diamond.
Katika Music artists wa Bongo yeye ndio mwenye kiwango cha juu katika kujieleza katika vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC,Channel O nk