Tiba ya ugumba

Tiba ya ugumba

shuuprecious

New Member
Joined
Oct 31, 2022
Posts
4
Reaction score
6
Hellow ndugu zangu, naomba kuuliza kwa yeyote anaejua tiba asili au za hospitali la tatizo la kuchelewa kushika ujauzito.
 
Nenda hosptal kapime mfumo mzima wa uzazi make kuna bacteria wanakaa kwenye kizazi kazi yao kutafuna mbegu za kiume zikifika pale ,kapime PID, kachek na homoni kama zina balance alafu utarudi uelezwe kuhusu dawa mbadala kama hutopata hosptal za kukuponesha urd hapahapa
 
Nenda mkoa wa Kagera kule kuhusu uzazi hakuna kinachoshindikana Kuna wataalam wabobezi wa tiba asilia tena kwa gharama ndogo.
 
Hospitali nimeenda ndugu zangu na naambiwa sina tatizo ndio maana nikaja hapa kuomba ushauri kwa ambae ashawahi pitia hii hali au mwenye kujua
Je una uhakika Kama mume wako han tatizo isije kuwa mume ndio Ana tatizo
 
Nenda mkoa wa Kagera kule kuhusu uzazi hakuna kinachoshindikana Kuna wataalam wabobezi wa tiba asilia tena kwa gharama ndogo.
Kama mpo vzr kiuchumi nenda popote na ulinganisge majibu

Onyo usiende kwa waganga labda Kama Kuna uchawi ulitumika
 
Awali ya yote. Pima mbegu za mwanaume wako. Wanawake wanasingiziwa tu Ila tatizo linakuwaga kwetu. Wazungu wanaweza kutoka bila mikia au wanatoka choka mbaya kutokana na kupiga punyeto au kutembea na wanawake watu wazima.
 
Back
Top Bottom