Tiba kwa mikunjo ya uzee

MamaaRehema

Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
78
Reaction score
18

Karibuni mjipatie bidhaa nzur kwa kutoa mikunyazi usoni maalum kwa miaka kuanzia 35+ kwa ngozi aina zote, wake kwa waume.
Seti nzima ni Tsh 240,000 ukinunua complete kwa wakati mmoja unapata kwa 210,000 + eye cream bure.
Ukipenda discount unajiunga na kampuni kwa 9,000 na unapata punguzo la 23% kwa kila bidhaa moja hapo juu.
Kwa oda, ushauri, kujiunga na kuwa consultant wasiliana nami kwa +255(0)717343536
 
Ili mtu usizeeke au? Sijaelewa km unatibu ngoz tu au inaingia mpk kwenye maini, figo, moyo etc?
 
Ili iweje? mi hapa nina 30yrs namuomba mungu anisaidie nifike uzeeni we unaleta dawa ya kuwafanya watu wasizeeke,dah!
 
Ili iweje? mi hapa nina 30yrs namuomba mungu anisaidie nifike uzeeni we unaleta dawa ya kuwafanya watu wasizeeke,dah!
Kwani uzee ni nini labda? Hujawahi ona mtu ana umri mdogo anaonekana mkubwa or kazeeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…