TIB wamwaga nafasi za ajira za kutosha

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
Tanzania Investment Bank(TIB) wametangaza nafasi za kazi za kutosha katika ngazi mbali.
Pakua faili na angalia inayokufaa.
 
Attachments

  • TIB Development Bank Job Vacancies 15 June 2017.pdf
    165.6 KB · Views: 154
Tanzania Investment Bank(TIB) wametangaza nafasi za kazi za kutosha katika ngazi mbali.
Pakua faili na angalia inayokufaa.
Hizi sio nafasi mpya! Inaonekana waliokuwepo wameharibu vibaya hivyo wametolewa na sasa timu mpya inasukwa!
Khaa! Yan top layer ya bank yoote imefagiliwa... Kweli inaonekana benki ilikuwa imeoza. Na hili litakuwa ni tamko kutoka BOT. BoT kuna PhD 17. Naona zimeanza kufanya kazi sasa.
 
Aisee! Kwahiyo ni kufa kufaana.
 
Aisee! Kwahiyo ni kufa kufaana.
Khaa! Kama una ka ajira kako somewhere na mambo yanakuendea vizuri, ni bora ubaki huko huko tu. Huku lazima moto utakuwa unawaka na it will take time mpaka mambo yatulie. Yani pesa wale wengine, wewe uje uhangaike na makinikia!
 
Ha ha ha! Kweli unaweza kuwa mbuzi wa kafara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom