Three Most Racist nations on Earth

It seems that way though..,viceviersa is always true. Mnapokua na muingiliano sana, jamii wenyeji inaanza kuunda gangs mbalimbali zA kuweza ku-survive na mabadiliko ya kiushindani sehemu husika. Cause siku zote foreigners hawako tayari ku- assimilate utamaduni walizokuta.
Na wenyeji wanakua na manung'uniko zaidi kuhusu kubaguliwa kutokana na wao kushindwa kwenda sambamba na jamii ya wageni inayohamia.
Ndio maana sheria kali zinaundwa kupambana na uvunjifu wa amani maeneo hayo.
Hapa kwetu wenye asili ya Asia wamejitenga tangu uhuru wanakaa mijini tu na hii si kwa bahati mbaya..it is planned.
 


Oh i know that! One individual or 50 or 1000 do not reflect the whole nation. That's why i keep my biases towards Indians until one proves me wrong. I'm always open to befriend and get to know people that i am prejudiced towards. I had a sister in-law who's Indian. Doesn't justify my prejudice but it shows that i am open and willing to extend the olive branch, THOUGH WITH CAUTION. I've experienced 1st hand racism from Indians, so you can understand my skepticism.

Once again, 1000 racists in a country, does not make the WHOLE nation a racist nation.
 
Pole Dear Urq...Pity for a touching experiece... Most welcom we have huge farms of OLIVE !!!
Good luck and blessings.
 
India wana tamaduni za kizamani na za kibaguzi sana hata kama ni wao kwa wao.

Caste system imewafanya mpaka leo wendelee na hii tamaduni. Hii caste system ni mfumo wa kuishi kimatabaka yaani tajiri na tajiri masikini si chochote, hathaminiki na hudharauliwa katika huduma za kijamii. Kutumikishwa na kutusiwa ni kawaida sana kwa masikini, na wale wahindi weusi.

Sasa kama wenyewe kwa wenyewe wanatendeana ubaya vipi kuhusu mwafrika?

Hata kuoa tu kwenyewe, maskini hatakiwi kuoa binti toka familia za kitajiri.
 
Sijakataa uwepo wa resistance katika kuassimilate new culture either kwa wenyeji ama wageni katika jamii zenye muingiliano mkubwa.Hiyo ni sehemu ya makundi madogo madogo katika jamii hizo ukilinganisha na sehemu kubwa ya jamii iliyokubali muingiliano huo.Na tambua wakati mwingine sehemu ya makundi haya yanakuwa na ajenda iliyojificha kwa mgongo wa ''mshikamano''.Je unataka kuniambia sehemu yenye ubaguzi mdogo ni ile isiyo na muingiliano mkubwa baina ya jamii tofauti?..La hasha....
utungwaji wa sheria kali sehemu yoyote haimaanishi kuiadhibu sehemu kubwa ya jamii hiyo pindi waendapo kinyume...Infact mara nyingi mpaka inasimama na kuwa sheria,inahitaji uungwaji mkono na sehemu kubwa ya wawakilishi wa watu/wananchi.
 
Rwanda??? tangia yale mauaji ya kimbari yafanyike, Rwanda wamekua watu wastaarabu sana, nadhani hii research imekosewa
Hii research ipo sawa. unajua jambo baya likifanyika linaondoa mazuri yote. Research imebase kwenye mauaji ya kimbari. Hata ivyo hadi sasa bado kuna vielement vya ubaguzi baina ya Tutsi na Hutu.

Hata ujerumani inarekodi mbaya kuhusu ubaguzi, mauaji ya wayahudi enzi za Hitler imechafua sifa ya ujerumani ingawa sasa ni kimbilio la walimbizi kutoka mashariki ya Kati.
 
njoo na mifano mkuu, hapo kwa Rwanda
 
Hatari sana hii habari. Russia wana mikakati gani kusitisha visa vya ubaguzi kwenye World cup ya 2018.
 
Mkuu Donald Trump ni mtu mmoja tu na pia hiyo list ina mataifa ya kizungu wewe kwani Russia sio aZungu unataka list ya waarabu nini ?
hahahaa hebu mtafutie list ya watu wabaguzi zaidi ili amsearch trump
 
russia wao wanaona wazungu tu ndo watu cha ajabu wazungu wenyew daily wanawagonga sanctions zisizokuwa na kichwa wala miguu
 
Na wakristo nao wapo VIZURI tu,,,,KWANINI MNA CHUKI KUBWA SANA KWA WAISLAMU?
 
Umaarufu wa Donald Trump umetokana na ujasiria mali wake wa miaka mingi sio ubaguzi acha utoto na wewe Trump hajaanza kuwa maarufu hizi wala jana
wangapi nje ya marekani waliokuwa wanamjua huyo donald kabla ya kuanza mbio za urais? naona unatetea mpaka ujinga kisa mahaba. mtu mzima ovyo kabisa.
 
Na wakristo nao wapo VIZURI tu,,,,KWANINI MNA CHUKI KUBWA SANA KWA WAISLAMU?
Mkuu wala usiweke udini, huu ni ukweli. Wa saudia wana population ndogo lakini hadi majina, wanalazimika kutumia majina ya asili ya kwao tu. Kuna majina marufuku kua nayo ama kumpa mtoto wako ukiwa ni msaudi. Majina yote yenye maana ya UTUKUFU hawaruhusiwi kwa wasaudi tena hayo ya kiislamu. Kama Akbar, nk.
Utamaduni wao unalindwa kwa bunduki usiwe contaminated.
Huu ni utaratibu wa nchi yao. Kuna tetesi wameanza kuruhusu wanawake kuendesha magari..
Pia wasaudia wengi hawaruhusu wanawake kushiriki michezo. Japo wao wanasema ni utamaduni wao
Ile nchi ni doomsday.
 
wangapi nje ya marekani waliokuwa wanamjua huyo donald kabla ya kuanza mbio za urais? naona unatetea mpaka ujinga kisa mahaba. mtu mzima ovyo kabisa.
Trump ni mtu tajiri na popular sana USA na duniani hata kabla ya kugombea urais.

Akiwemo Jeb Bush na Benjamin Carson.
Jeb Bush alikua maarufu kipindi George Walter Bush anagombea urais kwa mara ya kwanza, kukawa na matatizo ya kuhesabu kura jimbo LA Florida. Hawajaibuka tu from no where..

Watu wanaweza kudai hawakumjua floyd maywether lakini alikua maarufu siku nyingi ndio maana mapambano yake yalikua yanajaza watu. Japo alikua anapigana kama underdog.

Sasa kama mbongo hukuwajua hawa kabla au ulisubiri magazeti ya udaku yamuandike ndio umjue ni mapungufu binafsi ya kufuatilia taarifa zA kamataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…