Three easy ways to punish a Woman without physical abuse

Hahahah acha hizo bibie,najua hukumwambia kwa ajili yangu,ila umezisaidia hisia zangu,hakuna ubaya mamii
Kuamkataza asiniite mpenzi kunaleta uhusiano gani na hisia zako
 
Hizi ni mbinu za kivita na siyo za kimapenzi
 
SAsa mkuu si unaona lakini keshakukanya,amekukataza ana maana kubwa sana.
Nachoshukuru umenunua kesi na Kuna komamanga mwengine nae naona kanunua kesi.. nachoweza kusema mi ni kwaherini kazi njema..😂😜🏃🏃
 
Hayo tutayamaliza kifamilia,tusimwage mchele kwenye kuku wengi ndomana zipo pm
Uyamalize kifamilia❓na nani‼️Mchele gani unaouzungumzi‼️Kuku
ni akina nani‼️Pm zimefanya nini⁉️
 

My wife will not care of all that you have said
 
Uyamalize kifamilia❓na nani‼️Mchele gani unaouzungumzi‼️Kuku
ni akina nani‼️Pm zimefanya nini⁉️


Wewe naye usijifanye keki sasa.. Unaweza puuzia kureply comment zao.. Usijikute kekiiii kumbe wa kawaida... Acha wenye mawazo mbadala wa comment msitujajie ujinga wenu humu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…