Thread sasa zinapumua: Mwanamalundi Kapotea!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Alikuwa ni mtu mwenye mizaha ya kuudhi sana hapa JF.Alitumia username ya Mwanamalundi.Akipitia thread yako
lazima tumbo likusokote kwa jinsi atakavyokomenti. Comment zake maarufu ni: Haituhusu! Ujinga gani huo unatuletea
hapa? na nyingine nyingi za kuvunja moyo.Na hata avatar yake ilikuwa ni sura ya mtu mzee mwenye inda iliyofichika na
na tabasamu la kebehi.Kwamba kwa nini haonekani tena si jambo linalotuhusu, tuendelee na mishe zetu.
Kwa wale mnaomkumbuka, avatar yake ni hii hapa:



Kwa heri Mwanamalundi wa bundi!
 
yaonyesha kuwa umemkosa kwa muda sasa, naamini atakuja ili asokote matumbo tena ya watu....
 
yaonyesha kuwa umemkosa kwa muda sasa, naamini atakuja ili asokote matumbo tena ya watu....
Majibu yake ya mkato na kashfa yalinifanya nimshangae sana. Kama atakuja aje tu ila apunguze kashfa zake.
Huwa najiuliza, je, in real life akiwa uswazi anathubutu kujibu watu kama afanyavyo hapa JF?
 
Kaka mimi bado nipo sana hapa ndani. Tuendelee kuelimishana. I salute you my brother!! Long live JF!!!
OMG! Kumbe upo aisee! Yaani ukimsema mtu halafu huyo mtu akatokea, unajisikia vibayaaa! Welcome and I hope you'll change your style of commenting to threads. When you say for example: 'Hayatuhusu!', to me this is too rude and antsocial. Please, try to say something more encouraging.

Thanks Mwanamalundi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…