king'amuzi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 614
- 225
ukiona mtu ana machungu hivi ujue jamaa keshamega na kusepa.... inauma sana kwa kweli but ndiyo maisha
pole sana chukua kama changamoto usichume tunda la mti wa katikati kama hujajua tunda ni la aina gani.maana najua mzee baada ya kuchuma ndiyo alikutolea makucha. msahau tu maana hata hivyo anaonyesha hakupendi dada yangu
huu uvivu wa kusoma riwaya ngoja nikatafute miwani kwanza
mimi nipo poa ,kuna mambo yaliniweka busy!AS, za kupotea?
Na wewe huwa una sumaku ya wanawake?
Niazime robo kilo
kna mmoja hapa hapa
analeta maneno mengi
akati mie nimelenga tundi zaidi.
vp husninyo km ana roho nzito afanyaje?Dah, bora umeshajua ni wa mtu mwachie mwenye mali kama una karoho kepesi.
Itabidi tuanzishe JF MOVIES ..
Tuna script. Za kutosha humu ndani ..
vp husninyo km ana roho nzito afanyaje?
Pole mamii hawa ndo wanaume, ni zaidi ya uwajuavyo, we learn thr mistake
loud n clear labda ampate mume ***** ndiyo atasahau familia,,,,,,,,,na zaidi ukishajua unadate na mume/mke wa mtu unabadili staili ya kudate ati!kama ana roho nzito adate nae huku akijua usiku ukifika mume wa mtu lazima arudi kwake, mume wa mtu lazima akamilishe majukumu ya familia kwanza kabla ya kukamilisha ya hawara, na itafikia kipindi ataona hawara hana maana hivyo atahitaji kutulia na mkewe.
loud n clear labda ampate mume ***** ndiyo atasahau familia,,,,,,,,,na zaidi ukishajua unadate na mume/mke wa mtu unabadili staili ya kudate ati!
uwiiiiiiiiiiii,madogo yana nafuu ,wala hata hakukupenda alikuwa anakudanganya
Ulimpa tunda?maana watu wasanii sana.
Kama angekupenda asingemuoa huyo ambae alikuwa hampenda,
Pole mwaya jifunze kutokana na makosa .
ha ha ha haaaaaaa! sijui umestuka nini ,ni He if tht ll do...:eyebrows:off topic: we ni she/he?