Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,939
- 10,823
Kwa mara ya kwanza leo nafungulia runinga,nikajikuta nmebomyeza kitufe na kuangalia TBC1 na kukutana na kipindi tajwa hapo juu!
Kipindi kilikuwa na agenda ya kureview mwaka 2018 na kuona nini kipya kwa mwaka 2019!
Wachangiaji walioelezea mambo mengi ila wote walikubaliana kuwa NCHI yetu haina viongozi bali ina WATAWALA ambao wao ujifungia ndani ya vyumba vyao,maofisi yao na kuamua dhidi ya wanyonge!
Mfano,wakatolea ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiriamali hiv ni nani alimwambia Rais kuwa wafanyabiashara ndogo ndogo wanataka vitambulisho?
Sasa wanasajili wakulima hiv kwwli wakulima wa Tanzania lini wamesema wanataka vitambulisho?
Any.way wameenda mbali zaid nmefurah DR MBUMDA anahoji tunaposema hapa kazi tu hiv tutazalisha tusivyo vila mpka lini?
Unaposema tufunge mkanda tujenge uchumi wa viwanda je tufunge mpk lini? Agenda ya viwanda ni ya ccm na mgombea wao je ilikuwa ni agenda ya watanzania wote?
Hakika wamemtofautisha mtawala wa sasa kuwa anatofauti na nyerere maana nyerere alipowambia wananchi wafunge mkanda ilikuwa ni makubLiano yao na haikuwa amri.
Hakika nmekongwa na PROFESA BAREGU,MWAMUNYANGE NA MBUNDA ASANTEN SANAA!
Sent using Jamii Forums mobile app