Wewe ulikua bado unaamini kuwa hii ni sehemu ambayo unaweza kuongea unachojisikia?
Kama ulikua unaamini hivyo mpaka sasa pole yako aisee.
Kwasasa sidhani kama Jamii Forums ni sehemu salama sana,hakuna kisichokua na bei.
Kila kitu kina bei yake,naamini WATU walishafikia bei ya kuweza KUINUNUA Jamii Forum.